Monday, October 14, 2019

Diana Marekani hapawezi

 Na Winston Kinyaha
Mwanadada anayetikisa Bongomovie na kutimkia Marekani, staa wa Bongo Muvi; Diana Kimari, alisema hawezi kurejea, lakini ukweli ni kwamba nyumbani ni nyumbani kwani sasa amepakumbuka mno na anatamani kurejea. 

 Akizungumza na Diana anasema amemkumbuka mno mama’ke na baadhi ya rafiki zake ambapo huko hawapo, hivyo hapawezi na anatamani mno kurejea Bongo. “Kiukweli nimemisi sana nyumbani na natamani kurudi,” alisema Diana.

0 Comments: