
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Young African raia wa ivory coast Pacome Zouzoua inasemekana amezama penzini na muigizaji na socialite wa kitanzania Ester Simba maarufu kama Caren Simba..

Mwanadada huyo animvuruga sana Pacome, Unaambiwa Pacome humwambiii Kitu Kwa mrembo Huyo kazama mazima kasahau hata wmwanamke wake wa Ivory coast..😁😁 Ila Hawa Dada zetu ni hatari sana.

Ester Simba "Caren" ameachia muonekano wake mpya kwenye uzi mpya wa Dar Young Africans 'Yanga Sc'.

Pacome anafata nyayo za mchezaji mwenzake Stephanie Aziz Ki ambaye anadaiwa kutoka kimapenzi na Mrembo Hamisa Mobetto ambaye ni mama watoto wa Diamond platinumz
0 Comments: