Thursday, August 8, 2024

PACOME Azama PENZINI kwa MREMBO HUYU
Published from Blogger Prime Android App

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Young African raia wa ivory coast Pacome Zouzoua inasemekana amezama penzini na muigizaji na socialite wa kitanzania Ester Simba maarufu kama Caren Simba..


Published from Blogger Prime Android App
Mwanadada huyo animvuruga sana Pacome, Unaambiwa Pacome humwambiii Kitu Kwa mrembo Huyo kazama mazima kasahau hata wmwanamke wake wa Ivory coast..😁😁 Ila Hawa Dada zetu ni hatari sana.
 
Published from Blogger Prime Android App

Ester Simba "Caren"  ameachia muonekano wake mpya kwenye uzi mpya wa Dar Young Africans 'Yanga Sc'.

Published from Blogger Prime Android App

Pacome anafata nyayo za mchezaji mwenzake Stephanie Aziz Ki ambaye anadaiwa kutoka kimapenzi na Mrembo Hamisa Mobetto ambaye ni mama watoto wa Diamond platinumz

Sunday, August 4, 2024

Semaji la SIMBA Ahmed Ally Atupa DONGO Kwa YANGA

Published from Blogger Prime Android App

Ameandika Afisa Habari wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally

 

Hauhitaji muda mrefu ili kuwa na Tamasha zuri unahitaji muda mchache uliopangiliwa vizuri kama tulivyofanya sisi.

 

Hauhitaji MCs wengi ili uwe na sherehe nzuri unahitaji MC mmoja mwenye uwezo mkubwa kama nilivyo Mimi

 Published from Blogger Prime Android App

Hauhitaji Wasaniii wengi ili uwe na Tamasha bora unahitaji Wasanii wachache waliobora na uwezo mkubwa kama wale tuliowatumia sisi

 

Mtaendelea kuandaa Matamasha Mabovu na Mabaya kwa sababu mnataka kushindana baadala ya kujifunza. Ubaya Ubwelaaaaaaaa.

Friday, February 10, 2023

UKWELI KIFO CHA RAPPER AKA KUPIGWA RISASI SOUTH AFRICA

Rapa AKA wa Afrika Kusini amefariki dunia kwa kupigwa risasi muda mfupi kabla ya kutumbuiza jijini Durban.


AKA ambaye jina lake halisi ni Kiernan Forbes ameuawa kwa kufyatuliwa risasi kutoka kwenye gari akiwa amesimama nje ya mgahawa.

Polisi nchini humo wamethibitisha kuwa nyota huyo mwenye miaka 35 pamoja na mlinzi wake wameuawa.

Hajafahamika sababu ya mauaji hayo, na sasa jeshi la polisi linaendelea  na uchunguzi Taarifa zinasema licha ya AKA mauaji mengine yametokea pia katika tukio husika 

"Durban - Police sources in Durban have confirmed rapper Kiernon ‘AKA’ Forbes was shot dead in a drive-by shooting on Florida Road on Friday night.

Another person believed to be AKA’s bodyguard, was also wounded, while another unidentified person, who is understood to be a close friend of AKA, has been shot dead.
It is understood that AKA was standing outside the Wish Restaurant when he was gunned down in a drive-by shooting.
The identity of the second person shot dead is unknown at this stage, but he is understood to be a close friend of AKA.

According to social media posts, AKA was due to perform at a Durban night club, YUGO, where he was expected to perform as part of his birthday celebrations."
Source : Nehanda Radio

Baadhi ya Mitandao ya Afrika Kusini ukiwemo Mtandao wa TimesLIVE na iol imeripoti kuwa Rapper huyo AKA, amefariki kwa kupigwa risasi akiwa Jijini Durban alikokua amekwenda kikazi 

Rapa AKA alikuwa na mtu wa pili aliyepigwa risasi naye ametambuliwa kuwa ni mmoja wa marafiki zake wa karibu na meneja wa zamani, Tebello 'Tibz' Motsoane. 

Tebello alikuwa amesimama nje ya Wish Restaurant akiwa na AKA na wengine wakati watu wenye silaha waliokuwa kwenye magari mawili walipofyatua risasi na kuwaua  wote wawili na kumjeruhi mtu mwingine anayesemekana kuwa ni mlinzi wa AKA. 

Tebello alimsimamia AKA miaka mingi iliyopita kabla ya kuamua njia mpya ya kazi na kuwa mpishi na kuanzisha chapa ya nguo. 

Wawili hao na wengine walikuwa wamesafiri kwa ndege hadi Durban siku ya Ijumaa, Februari 10 kusherehekea siku ya kuzaliwa ya AKA
      Aka akiwa na rafiki yake Tebello 'Tbiz'

Pia Familia Kupitia akaunti ya Instagram ya rapa huyo, famili imethibitisha kifo cha mpendwa wao @akaworldwide 

Familia imeeleza inasubiri ripoti zao kutoka Polisi na wao wamepokea kwa masikitiko hapa za kijana wao.

Imeeleza kuwa ameacha mtoto mmoja wa kike anayeitwa KAIRO.



Watu maarufu mbalimbali wa South Africa akiwemo DJ Black Coffee, Mtangazaji TBO Touch na Rapper 2FreshLES, bila kutoa maelezo ya ziada wameonesha kuwa katika majonzi kupitia kurasa zao za Twitter usiku huu.

Night Club ya YUGO ya Durban ambayo AKA alitarajiwa kuwepo usiku huu kufanya onesho na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa, imetoa taarifa ya dharura saa mbili zilizopita na kusema tukio hilo limefutwa.

Rapepr AKA amewahi kufanya kazi na Wasanii wengi Afrika Burna boy , Sakodie kutoka Nigeria pia Tanzania ambao ni Diamond Platnumz kwenye wimbo wa "make me sing" ulioachiwa mwaka 2016 na "don't bother" aliofanya na Joh Makini ulioachiwa November 2015.

Thursday, February 2, 2023

FAHAMU SABABU ZA MWANAMKE KUTOA HARUFU MBAYA UKENI

 


harufu mbaya itokayo ukeni ni matokeo ya uchafu tu na ndio maana wanaume huwachamba wake zao kuwa hawajui kujisafisha na kufanya wanawake kuongeza jitihada katika kujisafisha ukeni,leo napenda kuzungumzia tatizo hili linalowasumbua wanawake wengi.

~kitaalamu Hali ya mwanamke kutokwa na maji yenye rangi nyeupe au njano ni Hali ya kawaida na sio tatizo Lakini endapo maji yanatoka yapo katika Hali ya ute mzito wenye rangi nyeupe au kahawia na yanatoa harufu kali au kuwasha hapo una tatizo

~majimaji au ute unaoteleza kutoka sehemu za siri ni njia inayowezesha viungo vya uzazi vya mwanamke kujisafisha au kutoa uchafu wa seli zilizokufa na mabaki ya damu ya hedhi nnje ya mwili pia huvikinga viungo vya uzazi dhidi ya maaambukizi ya bacteria

~Kwa kawaida huwa hayatoi harufu na huwa hayawashi na huwa na rangi nyeupe au njano pia huwa na asidi ya LACTIN ambayo huzuia bacteria kuzaliana

~mwanamke hutoa kiasi cha grams 2 za seli zilizokufa kutoka kwenye mji wa kizazi na grams 3 za ute mwepesi kila siku, kiwango hicho kinaweza kuongezeka au kupungua kutegemeana na mzunguko wa hedhi pia Kuna wakati ute huwa mwepesi na unaovutika na Kuna wakati pia huwa mzito wa rangi ya njano hautoi harufu

VISABABISHI VYA TATIZO HILI

sababu za kutokwa na uchafu ukeni kuna

(1)BACTERIA VAGINOSIS

~Chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijafanikiwa kuwa wazi,kinachotokea ni kuongezeka kwa ghafla kwa idadi ya ya bacteria hawa na kubadilisha uwiano wa kawaida katika mazingira ya uke, wanawake wenye wapenzi wengi na wanaofanya mapenzi kwa njia ya mdomo Wana hatari ya kupata tatizo hili

(2)TRICHOMONAS

~maambukizi haya hutokana na Aina ya protozoa wa seli moja, trichomonas mara nyingi huambukizwa kwa njia ya ngono, protozoa huyo huweza kukaa kwenye unyevu unyevu kwa Muda wa saa 24 Bila kufa hivyo kufanya taulo na chupi zisizokauka kuwa chanzo kingine cha tatizo hili

(3)YEAST INFECTION

~kwa kawaida Kuna kiwango kidogo cha yeast (candida albicans) katika uke, huwa tunasema Kuna maambukizi pale kiwango kinapozidi Hali ambayo inatokana na kubadilika kwa Hali ya hewa ukeni(Change in the PH balance of vagina) maambukizi ya yeast hayatokani itandelea 0620465265

NJIA ZA KUACHA PUNYETO


1. Acha kuangalia video za ponograph: video hizi ndio chanzo kikuu cha punyeto kwa watu wengi hua zinajenga picha nyingi kwenye ubongo na kila picha unayoiona utataka ukaipigie punyeto hivyo kuacha kuziangalia tu ndio nafuu yako..

2. Weka mipango ya kuzuia kupiga punyeto wakati wa kuoga: bafuni ndio sehemu ambayo inatumika sana na watu wengi kupiga punyeto hivyo ni vizuri kua na mikakati ya kujizuia ukiwa huko kwa kuoga haraka na kuondoka, kuoga maji ya baridi ambayo mara nyingi hayatoi muhemko wa kupiga punyeto.

3. Epuka kukaa nyumbani peke yako; mara nyingi kukaa peke yako kunakufanya ushawishike kufanya tendo hilo, hebu ondoka na ujichanganye na watu wengine au tafuta majirani wa kukaa na kuongelea mambo mengine.

4. Fikiria kuhusu madhara yake: kila aliyewahi kupiga punyeto kuna madhara mabayo ameshayapata hasa madogo madogo kama uchovu mkubwa, kuumwa kichwa na kusahau sana hii itakupa moyo wa kuendelea kutopiga punyeto.

5.Acha kusema eti hii punyeto ni ya mwisho: siku zote wapiga punyeto wana akili moja ya kufikiria eti sasa leo napiga afu sirudii tena. Hicho kitu hakipo, kwani kesho yake utasema ivoivo, kama unaacha acha mara moja.

6. Tafuta mpenzi kama huna kabisa: ukiwa na mpenzi madhara ya punyeto kama kupungukiwa nguvu za kiume yatakufanya uache kabisa kwani ukiendelea utaaibika siku moja pale uume utakaposhindwa kusimama kabisa mkiwa faragha chumbani na pia utapata nafasi ya kushiriki tendo la ndoa hivyo kuacha kabisa punyeto.

Walio adhirika na punyeto virutubisho vipo vya kuimarisha nguvu za kiume na kuwa rijali kama mwanzo.
Kwa ushauri zaidi na kama umeshaathirika na punyeto.
 Piga/WhatsApp 0620465265

Thursday, November 7, 2019

T.I "Nampima KILA Mwaka Mwanangu wa Kike Kuangalia Kama Bado Anabikira"
Rapper T.I. ni baba fulani hivi mnoko, ameweka wazi kwamba huwa anamchunguza binti yake kwa kumpeleka kwa daktari wa wanawake kuangalia kama bado ni bikra.

Kwenye mahojiano na mtangazaji Nazanin Mandi na Nadia Mohan kupitia Podcast "Ladies Like Us" T.I. ambaye ni baba wa watoto sita amesema kila mwaka huwa anampeleka kwa daktari binti yake huyo Deyjah Harris (16) kumchunguza kama ni bikra
-
"Not only have we had the conversation. We have yearly trips to the gynecologist to check her hymen. Yes I go with her." Amesema T.I
 GOLI Alilowafunga LIVERPOOL Lampatia Mbwana Samatta Jogoo

BABA mzazi wa mshambuliaji wa KRC Genk ya nchini Ubelgiji, Mbwana Samatta, Mzee Ally Samatta, amemuandalia Jogoo mwanaye huyo pindi atakaporejea nchini hivi karibuni kutokana na furaha aliyokuwa nayo ya kuifunga Liverpool.

Samatta juzi aliitungua Liverpool katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo katika mchezo huo Genk ilipokea kichapo cha mabao 2-1.


Kwa sasa Genk inashika mkia katika kundi lao  E ikiwa na pointi moja na Liverpool ikiongoza ikiwa na pointi tisa. Akizungumza na Spoti Xtra, Mzee Samatta amesema kuwa; “Nililala nikiwa nimenenepa sana

kwani nilifurahi sana kuona bao lake limerudi, lile la awali walimnyima na VAR lakini Mungu ameonyesha miujiza amemrejeshea bao lake tena kwa staili ileile ya kichwa.

“Furaha yangu leo (jana) nakula ugali wa muhogo na jogoo mkubwa, najisikia furaha sana na naendelea kumuombea kwa Mungu.

“Nasubiria akirudi nyumbani kati ya tarehe 9 au 10 niweze kumchinjia jogoo mkubwa ambapo ni sehemu ya zawadi kwangu na kumpongeza kwa kazi anayoifanya, kwa jinsi hali ilivyo angepata wasaidizi wazuri kama walivyo wa Liverpool angeweza kufunga mabao mengi lakini tatizo wasaidizi aliokuwa nao hawapo vizuri sana japo wanasaidiana vyema,” alisema Mzee.